Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wanyonyi ambaye anaongoza msimamo atatimka mbio za mita 800, atapambana na Djamel Sedjaati wa Algeria na Gabriel Tual wa Ufaransa ,fainali hiyo iking'oa nanga saa tatu na dakika 42 usiku.