Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wizara ya uhamiaji imesema kuwa zaidi ya vitambulisho 400,000, havijachukuliwa na wenyewe kote nchini. Katibu katika wizara uya uhamiaji Belio Kipsang amesema vitambulisho ni vya wale waliotuma maombi kwa mara…