Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Maafisa kutoka mamlaka ya kudhibiti bidhaa za petroli na kawi nchini (EPRA), wameendesha ukaguzi wa ghafla katika baadhi ya vituo vya mafuta nchini kuhakikisha vinaafiki viwango vinavyohitajika. Kulingana na ukaguzi…