Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Huduma ya Taifa ya Polisi siku ya Jumapili, imefanya mabadiliko kwenye kitengo cha maafisa wa polisi wa kumlinda Rais. Mabadiliko hayo yanajiri saa chache baada ya agizo la Inspekta Jenerali…