Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mwenyekiti wa baraza hilo Maina Muiruri, alisema ukuaji wa majukwaa ya mtandao, umeibua changamoto mpya katika vita dhidi ya habari potovu, hususan kupitia mitandao ya kijamii.