Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Familia ya aliyekuwa Waziri Mkuu marehemu Raila Odinga imebuni kamati ya kuongoza ukumbusho wa mwaka mmoja tangu kifo chake. Katika tangazo kwa umma familia ya Raila imesema inatoa fursa kwa…