Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Rais William Ruto amemteua Kepha Nyamweya Omae, kuwa Mwenyekiti mpya wa tume ya kitaifa ya uwiano na maridhiano ya kitaifa NCIC. Wanachama wa tume hiyo ni pamoja na Josephine Kirion…