Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Waziri wa Fedha na Mipango ya Taifa John Mbadi ameitengea sekta ya viwanda shilingi bilioni 16.7, ili kupiga jeki utengenezaji bidhaa hapa nchini. Akiwasilisha bejeti ya mwaka 2026/2027 kwenye Majengo…