Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Shirika la Ndege Kenya Airways (KQ), limesema linaimarisha ushirikiano wake na Shirika la Air France la Ufaransa, kuboresha safari za ndege baina ya nchi hizo mbili. Hayo yalisemwa na Kaimu…