Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Gavana wa Bungoma Kenneth Lusaka, amevunja Baraza la Mawaziri pamoja na kuwafurusha Mwanasheria Mkuu na Katibu wa Kaunti, katika kile alichokitaja kuwa hatua ya kufanya mabadiliko katika uongozi wa kaunti…