Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Danny Jordaan ameshinda muhula wa nne kuongoza shirikisho la kandanda nchini Afrika Kusini (SAFA) katika uchuguzi ulioandaliwa Jumamosi. Jordaan alipata kura 157 dhidi ya 82 za mpinzani wa karibu Sandile…