Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kenya ingali na matumaini ya kushinda maandalizi ya mashindano ya Riadha Duniani ya mwaka 2029 au mwaka 2031. Mwandalizi wa makala hayo mawili atatangazwa Septemba 15 mjini Budapest,Hungary. Kenya inawania…