Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wawili hao walizungumzia ujenzi wa vituo vya ukuzaji vipaji nchini Kenya, kuimarisha soka ya mashinani na kuwa na mbinu mwafaka za viwango vya ukuzaji vipaji vya soka.