Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wagema Mvinyo Tusker waliotoka sare ya 2-2 wiki jana katika duru ya kwanza mjini Kigali,Rwanda,wanahitaji sare tasa ili kufuzu kwa mchujo wa pili ambapo watacheza dhidi ya singida Black Stars…