Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Rais Putin alisema Tanzania na Urusi, zimeendelea kuwa na uhusiano na ushirikiano katika sekta mbalimbali zikiwemo madini na nishati, akieleza kufurahishwa na ukuaji wa uchumi wa Tanzania.