Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Awamu ya kwanza ya uvunaji mahindi katika mpango wa unyunyizaji maji mashamba wa Galana Kulalu, ulianza leo Jumamosi. Mradi huo unaolenga kuhakikisha utoshelevu wa chakula hapa nchini, unatekelezwa chini ya…