Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
UNESCO inapanga kuwekeza dola milioni 10 sawia na shilingi milion i 130 katika miradi kadhaa ya kimaendeleo nchini Kenya,katika uvumbuzi,akili mnemba,mabadiliko ya tabianchi na elimu .