Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Joseph Oyugi Magwanga amejiuzulu wadhifa wa Naibu Gavana wa kaunti ya Homa Bay, akidai anahangaishwa katika utekelezaji majukumu yake. Magwanga, ambaye alichaguliwa pamoja na Gavana Gladys Wanga katika Uchaguzi Mkuu…