Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Gavana wa Benki kuu ya Kenya Dkt. Kamau Thugge amesema kuwa viwango vya riba vya asilimia 8.75 vimedumishwa, kwa lengo la kukabiliana na kupanda kwa gharama ya maisha hapa nchini.…