Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Timu mbili bora kutoka kila kundi zitafuzu kwa fainali za 36 za AFCON zitakazoandaliwa kati ya Juni 19 na Julai 17, mwaka ujao katika mataifa ya Kenya,Tanzania na Uganda.