Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Naibu Rais Kithure Kindiki, ametoa wito kwa Wakenya kuunga mkono juhudi za serikali za kuhifadhi mazingira, akisema ni wajibu wa kikatiba na jukumu la kimaadili. Huku akisema kuwa uhifadhi wa…